Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

Ebenezer - Mass Masilya

...

Ebenezer Chorus Tulipotoka mbali,tumefika hapa, Naye Baba Mungu ametusaidia eeeh, Iyoooo eeeeh,Mungu wetu ni Ebeneezer x2 Walitupangia tusimalize siku moja, Wakatarajia hatutamaliza miezi salama, kumbe Mungu akatuvukisha miezi salama, Iyooo eeh Mungu wetu ni Ebenezer. chorus Magonjwa ilifika kutumaliza aah Walifikiria hatutafika salama, Kumbe Mungu ana mipango mema kwetu, Iyooo eeeh kweli ni Ebenezer eeeh Mengi tuliona yakapita pita, Tulifungiwa majumbani katupa chakula Ata kazi hatukufanya katupea pesa eeh Tulishindwa kujikinga katulindaaa eeeh Iyooo eeh kweli ni Ebenezer, Iyooo eeh Mungu ni Ebenezer eeh x2 Aiiiiiiiiiiiiii,momomomooooo, Walifikiria hatutafika, Walitarajia kutumaliza, Walioanga mioango iki tuangamie, Malengo yao tusimalize salama, Lakini Mungu,Mungu wa rehema, Na leo,tumemaliza salama, Iyooo eeh Mungu ni Ebenezer, Walichimba mashimo,Mungu katuvusha eeh, Walitega mitego Mungu katurusha, Walileta magonjwa ikawamaliza eeh, Walipanga mabaya ikawarudia eeh, Iyooo eeh Mungu ni Ebenezer Iyooo eeh Mungu wetu ni Ebenezer eeh x2 Shukrani zote nakupa Mungu Baba, Na sifa zote zifike kwako maulana, Isingekuwa wewe,hatungefika sote salama Iyooo eeh kweli ni Ebenezer x2

Listen to Mass Masilya Ebenezer MP3 song. Ebenezer song from album Ebenezer is released in 2022. The duration of song is 00:04:55. The song is sung by Mass Masilya.

Related Tags: Ebenezer, Ebenezer song, Ebenezer MP3 song, Ebenezer MP3, download Ebenezer song, Ebenezer song, Ebenezer Ebenezer song, Ebenezer song by Mass Masilya, Ebenezer song download, download Ebenezer MP3 song

Comments (28)

0/500

    New Comments28

    170824307

    mas masilya

    Tanzania

    Hekima@M

    Mungu wangu ni EBENEZER [0x2728]

    Tanzania

    Simbaemmanuel

    [0x1f636][0x1f636]

    Tanzania

    141758449

    i really love this song may Almighty God bless you masilya

    Kenya

    EVA BLASS MALLYA

    Ninabarikiwa sana na huu wimbo

    Tanzania

    jossy1480

    a song full of blessings ., really love it, be blessed

    Kenya

    148660404

    mwimbo mzur

    Tanzania

    Ericdate3

    Am in love with the song. kweli ni Ebenezer

    Kenya

    inese0nu3

    wow

    Democratic Republic of the Congo

    128445766

    kweli ni Ebenezer

    Tanzania

    Mildread Ingozi

    Image | Boomplay Music
    Kenya

    Mildread Ingozi

    very nice song am blessed need more

    Kenya

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status