Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2024

Lyrics

Napendwa - Frida Rottson

...

NAPENDWA

NILIKUA WAPI KUJUA NAPENDWA KWA NAMNA HII

MBONA MAZITO SANA MAPENZI YA MUNGU KWANGU

LEO NAJUA NIMECHELEWA KU ENJOY

NIKACHOMWA NA JUA KUMBE KWAKO NINGE FURAHI

KUMBE WEWE UNAWAFUTA MACHOZI WANAO LIA

FEDHEHA NA AIBU HATA MATESO UMENIONDOLEA

KAMA MTOTO KWA BABA ANAPOLIA

AMBEMBELEEEZA

HAKI APA NILIPO SHIKA NASHIKILIA NISIJE TEREEZA

YANI NATAMANI KUTANGAZIA DUNIA

NINAAA PENDWAAAA

YANI UPENDO WAKE UKO MOYONI MWANGU

NINAA PENDWAAA

NAOMBA LOLOTE KWA JINA LAKE NAPEWAA

NINA PENDWAAA

YANI NITAKE NINI NISIHUDUMIWE NA MBINGU

NINAPENDWAAAA


NAPENDWA EEH

NAPENDWA OHH

NAPENDWA AAH

AHAHHA

YEYE NI RAFIKI WAKARIBU YANGU

TENA WALA HAYUKO MBALI YUKO MOYONI MWANGU

YEYE HUFURAHI NINAPO CHEKAA. KAMA KULIA ANALIA NA MIMI

LEO NAJUA NIMECHELEWA KU ENJOY

NA KWA UPENDO WAKO UMENIFUNGA SI KOHOI

KUMBE NI WEWE UNAEPONYA WAGONJWA DAKTARI

UMEUBEBE UMASKINI ILI SISI TUWE MATAJIRI

NAHIVYO MTOTO KWA BABA

ANAMBEMBELEZAA

HAKI HAPA NILIPOFIKA NIME TULIA

HAMTO NIWEWEZA

YANI NATAMANI NITANGAZIE DUNIAAA

NINAPENDWAAAA

YANI IPENDO WAKE UKO MOYONI MWANGU

NINAPENDWAAAA

NAOMBA LOLOTEKWA JINA LAKE NAPEWAA

NINAPENDWAAAA

YANI NITAKE NINI NISI HUDUMIWE NA MBINGUI

NINAPENDWAAAA

NIKIWA KWA BABA NIKIOMBA SAMAKI SIPEWE NYOKA

NINAPENDWAAAA !!!!!!

NIKIOMBA MKATE HAWEZ KUNIPA JIWE

NAPENDWAAAA EEH

NAPENDWA OOH


NAPENDWA AAH

OOH NAPENDWA EEH


NAPENDWA OOH


NAPENDWA AAH

MIMI NABEMBELEZWA

BEMBELEZWA

BEMBELEZWA

NIKILIA NABEMBELEZWA

BEMBELEZWA

BEMBELEZWA

AAH EEH AAH EHH AAH EEH

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status