Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2012

Lyrics

I Don't Wonna Be Alone ft. Sauti Sol - Ay Masta

...

I don’t wanna be so lone

I don’t wanna walk alone

I don’t wanna stand alone

I don’t wanna be alone, in the world!

Wanadamu huwa wepesi kudharau

Misukosuko ikipungua basi na Mungu ndo wanamsahau

Wengine amani inatoweka, hawakumbuki walikotoka

(Success) wazipatazo wao wanaona ka wameokota

Siku bado zinapita na mengi yanabadilika

Umri unaongezeka, mambo mengi umeshapitia

Ila, nakuona mnyonge na umekata tamaa

Basi piga moyo konde na uzidi komaa (komaa)

Safari uliyokuwa nayo hapa duniani

Safiri kwa imani, kwani ujue siku hazifanani

Kwani naamini hakuna anaejua mbele, sidhani

Zaidi ya Maanani, ambaye ndio nguzo hapa duniani

Shukuru kwa kila jambo, liwe baya au jema

Ndo mapenzi yake tu, so niamini nachosema

Muache aitawale, aiongoze roho yako

Ujifungue kwenye pingu za maovu, uwe peke yako

x2

I don’t wanna be so lone

I don’t wanna walk alone

I don’t wanna stand alone

I don’t wanna be alone, in the world!

Magari, yakifahari

Nyumba za ghorofa, shilingi na dollar

Unatawala, umesoma sana

Mambo haya ya dunia, tafadhali sikiliza

Maisha ni moja, kifo ni siku moja

Shida ni kuingoja, piga magoti wewe omba

x2

I don’t wanna be so lone

I don’t wanna walk alone

I don’t wanna stand alone

I don’t wanna be alone, in the world!

Kitu bora kuhusu kesho, ni uwe bora zaid ya leo

Maisha matokeo, na Mungu ndo letu kimbilio

Aliyekuvusha kwa milima, atakuvusha kwa mabonde

Basi usitazame nyumba, zidi songa mbele twende

Pumzi kakupa nani? Shukuru, utapungua nini!?

Vyote kakupa yeye, na bado humthamini

Vito, pesa na mali zenye thamani

Zisikufanye udiriki ukapungukiwa na imani

Kumsahau, kumdharau, kutomwamini aleyekupa

Kujiona juu, umepanda dau, na kujikuta umeanguka

Basi muombe akusamehe, maisha yako akuendeshee

Mabaya yote akuepushe, uishi raha mustarehe

Sema ‘asante Mungu’ kwa kila siku unayoanza

Na pia ‘asante Mungu’ kwa kila siku unayoenda

Mungu wa watu weupe, ndio Mungu wa watu weusi

Usimkumbuke tu wakati wa matatizo, change upesi!

x2

I don’t wanna be so lone

I don’t wanna walk alone

I don’t wanna stand alone

I don’t wanna be alone, in the world!

Sio kila siku tunaongelea mapenzi

Sio kila siku tunaongelea anasa na mambo ya kidunia

Sometimes..

Tukumbushane kumuomba yule aliyetuwezesha kuwa hapa duniani

Yule aliyetuwezesha kuusikia na kuuona wimbo huu

Mungu ni mmoja, amini hivyo

Ndio kimbilio la mwisho na nguzo yako hapa

Na baada ya kutoka hapa duniani

Mungu wa matajiri ndio Mungu huyo huyo wa masikini

Kwahiyo, kila mmoja ana azima yake kwake

Basi tusimsahau, tuwe karibu yake

Na tumshukuru kwa kila jambo

Kila mmoja ana azima yake kwake

Basi tusimsahau

More Lyrics from Ay Masta Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status