Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

16 barz hii ni 16 barz

16 bar natema 16 barz

Garage ya gari nane naeka 16 cars

Mali ni figure nane na ako 18 plus


16 barz hii ni 16 barz

16 bar natema 16 barz

Garage ya gari nane naeka 16 cars

Mali ni figure nane na ako 18 plus


Hit them up kama Pac

Girl ni thick like Hi Whats up?

Niko home niko zone kama ndai nadai reverse

Kaa ni dem nadai hio ass

We are bad don't fuck with us

Niko high kaa caliber

With a glock na money bag

Big dog mi siezi bark

Juu dem ako juu ana arc her back

Kila siku rende wrong

Ma boy wako juu wana smoke maBong

Walithani siezi rap

Cheki sai wamekua maFan

Rating si ndio number one

When we start we're never done

(Yooh)

The gap is getting bigger

Huu boy ni killer

Nadai niRap nishike six figure

A rich nigga

Ka Bin laden naBlow

Nairobi Water naflow

Nipate East nikiChill chini ya jua naGlow

(yooh)


16 barz hii ni 16 barz

16 bar natema 16 barz

Garage ya gari nane naeka 16 cars

Mali ni figure nane na ako 18 plus


16 barz hii ni 16 barz

16 bar natema 16 barz

Garage ya gari nane naeka 16 cars

Mali ni figure nane na ako 18 plus


Ambia DJ ka ni volume itabidi acheze na plus

Vitu naSpit moto so mdomo ni kama flask

Daily nakwanga first namsupa ndio mi hulast

Mi humpiga vitu sure na bado hananga trust

Ndio unishinde sahau, nawachoresha giza

Vile naRoga Mic warogi huniita wizard

Ka umesota fuliza, ka una swali uliza

Tattoo ukichora nyoka ukikonda itakaa kiLizard

Mi hutema vitu nyingi sometimes kwa mic inabidi niChill

Deni ya china ni fake hapa nawapatia vitu real

Hii Kanairo mi hukaa rada unaezwa pitwa na kiDeal

Na ukisleki chunga sana unaeza kutwa maViding'

Skill inaGrow, Soon tuna blow

Mi hutafuta kichana tuki skiza Afro

Kabati ka Man-U iko na mingi ma draw

Nipate nikichana mi ni mbuzi the goat

Been out the game for a minute

Came back to handle my business

Ya'll niggas be faking

Let me introduce you to realness

Nadai maCrypto, I'm getting sicko

Ugali fine vote of thanks ni kwa mwiko

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status