Tupe Baba Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
(Imma gonna kill this one)
(The Rap Beast)
(Oh yeah!)
Nshakula mihadarati yangu nawaza vipi natoka
Nabembea kidogo udenda kama wote unanitoka
Kidevu kifuani na ndoto nzuri nzuri pia naota (swing swing swing)
Bado mi believer niweke kwenye mstari ulonyooka
Nakuamini we ukitaka tu utanipa (you’re the greatest)…hubagui mtu ninao uhakika (I know I know)
..ila maadui nao ni weeengi yaani mpaka nachoka
Ukiwa juu watataka kukuangusha (usshhh)
Tupe baba, tupe ule mkate wetu wa kila siku
Na tulale unono tusiote tunakimbizwa usiku (bless up)
Mashetani bado miiiingi yanatuharibu akili
Na matatuu, na mapesa na mapombe tu makali (I can’t feel myself)
Yananishawishi japo niguse hata sigara kali
Ila nipo imara nataka niwe mfano Kaka Omari (The Rap Beast, The Rap Beast)
Ili niende mbali bado nipo kati ya safari
Nipo hapa na wanangu tuna hisia kali
Tupe majumba, maviwanda usisahau magari
(To you we prayin', cuz you the Great)
(To you we prayin', cuz you the Great)
(And you the Great, Dear Lord)
Tupe Baba ukitupa tunaacha uhuni (huh huh!)
Wape na machizi wangu maskani (yeah!)
Wape na Wabongo wote wamesota sana
Tupe Baba (Amen), Tupe Baba (Amen)
Tupe Baba, Imma praying - Tupe Baba (Amen)
Wape na machizi wangu maskani (huh huh!)
Wape na Wabongo wote wamesota sana
Tupe Baba (Amen), Tupe Baba (Amen)
Money money money (money), kwa wahuni wangu (anha)
Amani, amani, amani (amani) mtaani hadi kwa mama yangu (oh yeah)
Tupate mahela, tushike mahela, tuwe na mahela tusahau shida zetu bro nha
Anha washua twende nao ngoma droo (ngoma droo)
Baba walokusahau uwakumbuke (have mercy)
Wasioweza kuona kitu usiwapite (anha)
Washushe maadui zetu si utupandishe nhaa
Kesho yetu iwe nyeupe (so bright)
Nangoja kwa hamu siku yetu ifike, kutesa kwa zamu mi na wanangu tucheke
Watu wamepigika yaani ka machizi, na makopo yanavyookotwa wanaling'arisha jiji nhaa
Si tunaomba kwa bidii nhaa, tuombe na tupate zaidi
Tupate mahela, tushike mahela, tuwe na mahela tusahau shida zetu broo (shida zetu bro)
(To you we prayin', cuz you the Great)
(To you we prayin', cuz you the Great)
(And you the Great, Dear Lord)
Tupe Baba ukitupa tunaacha uhuni (huh huh!)
Wape na machizi wangu maskani (yeah!)
Wape na Wabongo wote wamesota sana
Tupe Baba (Amen), Tupe Baba (Amen)
Tupe Baba, Imma praying - Tupe Baba (Amen)
Wape na machizi wangu maskani (huh huh!)
Wape na Wabongo wote wamesota sana
Tupe Baba (Amen), Tupe Baba (Amen)