Mpaka lini? Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Mpenzi,
uko wapi?
Simu yako
haipatikani.
Pete umeshanivisha
Lakini sikuoni.
Vipi ahadi yetu?
Ooohh baby.
Watu wanaongea
Wakiniona.
Eeeee, eeeehhhh
Wambeya ni wengi
Kila siku ni stori.
Ametupwa, ametupwa.
Mpaka lini? Mpaka lini?
Do I have to wait for you, baby?
Mpaka lini? Mpaka lini?
Niendelee kuteseka.
Mpaka lini? Mpaka lini?
Siku zinaenda.
Mpaka lini? Mpaka lini?
Niendelee kukulilia
Wazazi
wanauliza
Yuko wapi
huyu kijana?
Mahari umeshatoa
Lakini huonekani.
Vipi umeshasepa?
Mzigo umeutua.
Watu wanacheka
Kila wanaponiona
Aaaaaaa, aaaahhh
Wambeya ni wengi
Maneno mengi.
Haolewi, haolewi.
Mpaka lini? Mpaka lini?
Do I have to wait for you, baby?
Mpaka lini? Mpaka lini?
Niendelee kuteseka.
Mpaka lini? Mpaka lini?
Siku zinaenda.
Mpaka lini? Mpaka lini?
Niendelee kukulilia