Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2023

Lyrics

Hello, hello... Argh kumbe Diana,

Sitataka kukata kwa ule upendo wa zama,

Ivi ukosalama, mana huku nanenepa kwa kinyama,

Umeacha kudanga?, mana nakumbuka ukiwa mali ya umma,

Yale masononeko maumivu ulionipa nimepoa,

Sasa nina kicheko furaha anayonipa kaniokoa,


ushawai sikia biriani ya ngamia,

Nampeleka high, aty kibamia

Baridi kidogo kashanipatia,

Mi kwake rimoti


Nimepata wangu....

Nimepata wangu ...

(yani ndio dawa ya baridi, my habibty)

Nimepata wangu..

Nimepata wangu..


Nyufa, nyufa kaziziba

ukuta ukuta uko imara,

Amefuta akili ya kale kwake niko salama..

Mizuka,mizuka ikipanda,

Pupa, anaketia mnara,

Amefuta akili ya kale kwake niko salama.


Ananidekeza kama mtoto,

Penzi kalikoza liko moto,

Nikimpa anameza mkongojo,

So ukiweza wacha shobo


Ushawai sikia biriani ya ngamia,

Nampeleka high ati kibamia,

Baridi kidogo kashanipatia,

Mm kwake rimoti.


Nimepata wangu .

Nimepata wangu ..

(Yeye ndio dawa ya baridi,my habibty)

Nimepata wangu

Nimepata wangu


Limekolea kole,, (penzi langu nae)

Limekolea kole .(Hadi nizikwe nae)


Nimepata wangu

Nimepata wangu

(Iyeeeeeeeeeeeeeeee Nimepata wangu)

Nimepata wangu

Nimepata wangu

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status