![Hapana ft. Kayumba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/11/2ae53dc480cd43cdaffc1b42fba3e912_464_464.jpg)
Hapana ft. Kayumba Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Hapana ft. Kayumba - HADATHA
...
Hapana Ft Kayumba Lyrics
...
...
Verse one - Hadatha
hapana (nimefika ukingo ukingoni)
hapana ( haya maji ya shingo shingoni)
nalazimisha kuwa na furaha ndani
kumbe naumia roho inachoma
fungu langu la mapenzi kachukua nani
mana inanikaba kooh
penzi limekuwa vitani
penzi limekuwa shidani
wakuninusur nani ooih moyo
tena nahisi nahisi nimepigwa kitanzi
moyoni mpasuko radi
nani anitibu maradhi ooh moyo
pre chorus
kung'ang'ana siwezi(kung'ang'ana )
yani kung'ang'ania mapenzi
Chorus
hapan (nimefika uking ukingon)
hapan( haya maji ya shingo shingoni)
hapan( uuh uuh yeah)
hapana (mmmh mmh mmmh)
Verse 2 Kayumba
hakuna tena ile furaha ya jana
moyo umechoka kung'ang'ana
ni maigizo usiku na mchana
unauchezea shele shele
mama niliacha yote yalipita
vitimbwi na visa
ulipanda we mi nlishuka
penzi kuliimalisha
ilikuwa lazima kuna wakat utafika
mi na wee tutakwazana
nilizama kina mwenzangu ukanivua kama samaki angali m mnyama
mbona niliacha yote yalipita
vitibwi na visa
ulipanda wee mi nlishuka
penzi kuliimalisha
brige
kung'ang'ana siwezi(kung'ang'ana)
yani kung'ang'ania mapenzi
coras