![Wavunaji](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/23/9169bf4c52dc4c9c86eb900f8675f0f2_464_464.jpg)
Wavunaji Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Wavunaji - Ambassadors of Christ Choir
...
eeenyi wavunaaaji changamken
enyi wavunaji njooni changamken
tazameni mavuno yapo tayal
changamken nyote twende tukavune
eeh Kwan mavuno yako tayal
(wavunaaaji) enyi wavunaji,
(changamken)changamken
(njooni wengi) njooni wengi
tukavune
tukavune
ooh msilale twende tukavune (ooooh)
eeh Kwan mavuno yako tayal ×2
eleza habari kwa jamii yote
kule visiwan na kwa majiran
pazen sauti ya habari njema
wawe mbegu njema zitakazovunwa
wavunaaaji) enyi wavunaji,
(changamken)changamken
(njooni wengi) njooni wengi
tukavune
tukavune
ooh msilale twende tukavune (ooooh)
eeh Kwan mavuno yako tayal ×2