Mnyama Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mnyama - Alikiba
...
ally kiba -myama
sio leo toka zaman, mnyama hana mpizan
sio leo toka zaman, mnyama hana mpizan hatushiki ki ki ki hatukamatiki ki ki ki
watoto wa dar watoto wa msimbazi
ita mashabiki ki ki ki umeanza mtiti ti ti ti
na msimu huu kombe msimbazi
aaah
weee
unamjua simba unamjua (mnyama)
sio uyo wa picha mnyama (mnyama)
uyo ni wa insta myama (mnyama)
uyo utopolo mnyama (mnyama)
mnyama (mnyama)
mnyama (mnyama)
wa vikombe vingi myama (mnyama)
anaupiga mwingi mnyama (mnyama)
unyama ni mwing unyama (mnyama)
nasema
unamjua simba (mnyama)
wakimataifa mnyama (mnyama)
mnyama nguvu moja mnyama (mnyama)
anatupeperusha mnyama (mnyama)
mnyama (mnyama)
mnyama (mnyama)
wa vikombe vingi myama (mnyama)
wa kimataifa myama (mnyama)
anaupiga mwingi mnyama (mnyama)
hatushiki ki ki ki hatukamatiki ki ki ki
watoto wa dar watoto wa msimbazi
ita mashabiki ki ki ki umeanza mtiti ti ti ti
na msimu huu kombe msimbazi
sio leo toka zaman, mnyama hana mpizan
sio leo toka zaman, mnyama hana
woow
this is Simba sisi ndo mabingwa sisi ndo mabingwa Africa nzima
this is Simba sisi ndo mabingwa sisi ndo mabingwa Africa nzima