Tunaishi Nao ft. Diamond Platnumz Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Tunaishi Nao ft. Diamond Platnumz - Chidi Beenz
...
yeah!!
chid chid
nilipotoka nilivyosota ndo my mama anajua
pirika misitu na nyika mvua na jua.
patashika nguo chanika vaa au vua
hamasika shawishika omba sana dua
one Tara meraa bishoo na msela
kauli mbiu ilala Kila mara waza Hela
kiokote kwenye mwembe navuna mapera
kigodoro mwasiti kwakivalia dera
sauti inataka kupita kusikika
jua Kali nachakarika Afrika
mipango yakweli kwenda kwa mganganyika
kushindana Kila njia haiwezi kupita
ghafla unaitika wakati haujaitwa
mawazo yanafanyaga Saba kuwa SITA
serikali siri kali Siri za maisha
vile Ruger hayupo ...[?