![Mji Mtakatifu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/07/5ad2fbcfc23a4b95bc10e9512f93dbb4_464_464.jpg)
Mji Mtakatifu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mji Mtakatifu - Sda Songs
...
(Yohana ali ali..... ona mjiiiii lakini hakupata lugha.........ya kueleza.......
Mji huo mtakatifu makao yao watakatifu, aambamo ndani yake hapakuonekana kinyonge...... wengine watilia mashaka ju ya Mji huo wa Yerusalemi je kweli tutaishi ndani yake..... )*
( Mji (Mji wa Yerusalem ndugu Ni Mji halisi sikutaka moja tuta.....ingia Mji hu......o wa dhamani.... kwenye utukufu wa Mungu na mwangaza tele macho yangu hayajawai kuona.... Mji huo usioelezeka....)*2
(Wajiandaaa aje...... kuingia pale.....
kwani kila chozi litafutwa.......machoni mwao.....
maombolezo yatakoma kilio, maumivu, yatatoweka tazama mambo yote yatafanywa kuwa ni mapya......lakini waongo na wachawi wazinzi na waabudu sanamu hawataonekana ndani yake....)*2
chorus*2