![Unikumbuke Na Mimi (Live) ft. Geofrey Maunde](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/20/a25de9f4eaf14a68936b3d215cd921b7_464_464.jpg)
Unikumbuke Na Mimi (Live) ft. Geofrey Maunde Lyrics
- Genre:Kids
- Year of Release:2024
Lyrics
Unikumbuke Na Mimi (Live) ft. Geofrey Maunde - Henrick Mruma
...
Haya Ni maombi yangu kwako
unapogusa watu wengine
unapozuru watu wengine
unikumbuke Na Mimi Leo
Haya Ni maombi yangu kwako
Unapogusa watu wengine
unapozuru watu wengine
unikumbuke Na Mimi Leo
Haya Ni maombi yangu kwako
Unapogusa watu wengine
unapozuru watu wengine
unikumbuke Na Mimi Leo
Haya Ni maombi yangu kwako
Unapogusa watu wengine
unapozuru watu wengine
unikumbuke Na Mimi Leo
Haya Ni maombi yangu kwako
Unapogusa watu wengine
unapozuru watu wengine
unikumbuke Na Mimi Leo
Ulipomkumbuka mama Yule
Aliyetokwa damu miaka kumi Na miwili
Ndivo hivyo Leo umkumbuke mama mmoja
Umkumbuke Na yeye Leo
Alivyomkumbuka Sarah aaaah
Alimngojea Isaka Kwa mda mrefu
Ndivyo hivyo Bwana nakuamini
unikumbuke Na Mimi Leo
Ulivyowakumbuka wanaiIsraeli
wakaweza kuvuka Bahari ya Shamu
Ndivyo hivyo Leo nakuhitaji bwana
utukumbuke Na Sisi Leo
alivyomkumbuka Hannah aaah
alimsubiri Samweli Kwa muda mrefu
Ndivyo hivyo Bwana tunakuamini
utukumbuke Na Sisi Leo
unikumbuke Na Mimi Leo
usinipite Na Mimi Leo
unapogusa watu wengine bwana
unikumbuke Na Mimi Leo
Yesu yeesu weee
unikumbuke Na Mimi Leo
Yesu yeesu weee
unikumbuke Na Mimi Leo
Yesu yeesu wewe
unikumbuke Na Mimi Leo
Yesu yeesu weee
unikumbuke Na Mimi Leo