![G-Gas](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/24/59358326a5f94454bfe8e913c82d970d_464_464.jpg)
G-Gas Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2024
Lyrics
G-Gas - Rapsick Huslife 9teen_3rty8
...
Daily, mrazi anacheki kwa news
Wanangoja tudedi waongeze ma views
We jigas we jigas we jigas
We jigas we jigas we jigas
We jigas hakuna life ingine
We jigas huwezi zaliwa tena
We jigas we jigas we jigas
We jigas we jigas we jigas
We jigas hakuna life ingine
We jigas huwezi zaliwa tena
We si rapper baana nini unafightia
Unapinga nikisema nimekapitia?
Sibishani nao niwa, niwa pita njia
Story zao weka kando kwanza kanyagia
Mziki gharama
Starehe gharama
Mathare nahama afadhali kwa kichaka
Ala balaa Alahu akbar
Ganji ukikosa balaa
Ganji ukipata haram
Sukuma mililitle nikisakanya ka metre
Ka nimesota nikamsimu kanapita
Minesota nikipiga biz na Lupita
Hapo kwa kikona ni kagode naivisha
Kametoka Nai ghai hadi Vasha
My guy washa tamaa wacha
Amezuba na waresh na tuko Tamasha
Game ya wajanja ikizima si lazima tuseti kwa charger
Akitaka hii ni lazima atakanja
Niko Nai yaani zurura kwa sakaja
Shughuli tofauti sana na ile ya jana
Walitupa wiki wakangoja mamikaka
Kila mwezi tunanyesha nyesha mabaraka
Tunavuka mwaka na tunavuka mipaka haka eeh haka
Wanasema kalibadilika shughuli kadhaa nashughulikia life
We kataa kujituma lazima utamika
Untaa kunijua na hata ujijui?
Uwezi taja jinangu bila kutaja rap
Daily, mrazi anacheki kwa news
Wanangoja tudedi waongeze ma views
Daily nacheki anacheki kwa page
Anangoja tudedi angeze ma view
Anacheki anacheki anacheki kwa page
Anangoja tudedi ndio angeze ka view
Daily nacheki anacheki kwa page
Anangoja tudedi ndio angeze ka view