![Kamanda ft. Daz Nunda](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/16/f2278bd0ac0645cbb4d1cf8508cdf178_464_464.jpg)
Kamanda ft. Daz Nunda Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Kamanda ft. Daz Nunda - Dominick DM7
...
.............
Kamandaaaaaa
kamandaaaaaaaaa!!!
eyoooo
siku mapigo Yangu ya Moyo mwisho yatakapovuta
nuru itazima mfano wa nyota inavyodondoka
sitoweza kuamka tena macho yangu yatakapofumba
safari imewadiaa naenda kwa baba Muumba
masela nawaachia Usiaa waambie ndugu na Jamaa wapunguzee kulia sote tutakwenda Bali mm ninatanguliaa
duniani sio makazi yang tena niombeeni kwa mola nilazwe peponi pema
hamtoniona tena Milele
nawaachieni majonzi tele duniani naaga nakata kauli roho yangu inatolewa na Israel
yoweeeeeeeh la uchungu litasikika pale roho itakapokuwa inatoka