![Mwakitale ft. Rich Mavoko](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/17/cea64947e4284106b8c3f3525154c109_464_464.jpg)
Mwakitale ft. Rich Mavoko Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Mwakitale ft. Rich Mavoko - Chino Kidd
...
Into... (Mavoko & Chino)
Ah Chino...
Bad man, killer!
Yeah yeah yeah
Yeah yeah hmmm
(Mavoko)
Pesa ama dini n'takupa ubaki na mimi,
Kwengine s'tamani kama umeshushwa yaani,
We ni mtu ama jini mtoto una vitu laini,
Nusu nipigwe pini umefungasha double cabin,
Sio popular naficha kabisa na Dracula,
Wasilete ubishi vigagura,
Hii ngoma nakata ni sangula,
Oya sangula, ×2
Mwakitale ma Mwakitale ma heh,
Mwakitale huh Mwakitale ma,
Wooh Mwakitale ma Mwakitale ma huh,
Mwakitale oh Mwakitale ma,
Anhaaa... (Uha, uha),
Anhaaa... (Uha, uha),
Anh, anha, anha...
Nimetia nanga, (Aahaa)
Mlevi wa ngada, (Aahaa)
Hatutumii mpira, (Aahaa)
She my pain killer, (Aahaa)
Wooh Mwakitale ma (Mwaki) Mwakitale ma heh,
Mwakitale huh Mwakitale ma,
Wooh Mwakitale ma (Mwaki) Mwakitale ma huh,
Mwakitale oh Mwakitale ma,
(Chino)
Nishajipima na uchizi ma,
Ndo maana kila siku naku-please na,
Achana na washamba wenye fitina,
We zidi kunipenda hata n'kiwa sina,
Ah asema Mwakitale we ni pisi kali,
Nishajisatiti mama sio kimoko chali,
Nipe my darling shuti za mbali,
Wanakutami yamenicheza machale,
(Amapiano vibes)...
He! Ah Posh Wanaman, Bway Wanaman, Papi Wanaman he!
(Mavoko)
Wooh Mwakitale ma Mwakitale ma heh,
Mwakitale huh Mwakitale ma,
Wooh Mwakitale ma Mwakitale ma huh,
Mwakitale oh Mwakitale ma,
Nimetia nanga, (Aahaa)
Mlevi wa ngada, (Aahaa)
Hatutumii mpira, (Aahaa)
She my pain killer, (Aahaa)
(Chino)
N'taungana na masela, (Aahaa)
Nami nimepelekwe jela, (Aahaa)
Kwa sababu nakupenda, (Aahaa)
Na kibanda tutajenga, (Aahaa)
Hey! Ah Chino Wanaman, Chino Wanaman, Chino Wanaman, Chino Wanaman, baluza... Chi!
Hey! ......
DJ Waya umekanyaga waya!
Written by 14Kiid @2024