Loyalty ft. Nandy & Marioo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Loyalty ft. Nandy & Marioo - Darassa
...
chakula nitanawa ntakula ntashiba
siku nikienda kulala ntaota mapenzi
ukiskiaa naimba na furaha najiimbia
kama ukiskia naimba naimbia mapenzi
ukiniona nalia nifute machozii
jua ukiniona nalia nalilia mapenzi
ooh ayeee
Nilishafanya viujanja ujanja vya kubuni
Kaisoma namba kwa kirumi
kujichanga changa mpaka mbuni
Na kumbe najichanja chanja kama kuni
Nitafute wapi nakosea step
Labda Nivae fashion nijenge shape
Mwishoni I start to doubt myself
Siwezi kuogelea aya maji marefu
Ndio maana bado nakuwa na kiwewe
Maswali najiuliza mwenyewe
Je nitawapi wangu je ni wewe?
Au ndio naweka kifaranga na mwewe?
Mapenzi yanataka uyape respect
Commitment assuarance
Mapenzi sio kitu kama pesa ya benki
Umpe bunduki mlinzi akutetee