Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2009

Lyrics

Ripoti za Mtaani ft. Zahir Zorro - Fid Q

...

inasikitisha ina huzunisha inasikitisha!!


maisha ni safari ambayo tayari imekwisha kwa zake juhudi

alipokimbilia ni mbali michosho akifikiria kurudi

pole pole ndo mwendo kila akikumbuka ina muuma kwanza viliumbwa vidole binadamu ndo akaumba uma anaamini ye nimwema na wabaya mungu hawahitaji samaki anamengi ya kusema lakini mdomoni anamaji muadithiaji akiwa mmoja story huaga haikamiliki msishereheshe bora mjivishe viatu vya huyu binti aliye mtunza miezi9 tumboni ndiye aliye mfunza kutambaa kabla hajaanza kutembea lakini babaake aliye mzaa alimshauri aache shure ili aolewe kwa sababu mama hanasauti aliona bora tu amuelewe

bora aolewe tu na huyu kijana japo hajamrithia moyoni kwakua mwanzo ashaujua haiwezi kumsumbua mwishoni kadri unavyo mzengua paka huzidi nyanyua mkia ghafla akaitamani talaka akageuka kiruka njia mwana akagida sumu akafa alidata baada ya kusikia dem ashamkomba mikwanja amesonga kiwanja amemkimbia anachukuliwa tu na wajanja hajui kubana ye huachia binti hakuacha mlango wazi ili wageni wasigonge sana

hakujua haya mambo yanaweza kumuharibia usichana akaonekana hana mpango mrembo kwa starehe za ujana tangu hofu yake sio mdebwedo anakimbiwa tu na hao mabwana wakwanza alimpata club binti akafika kikweli akamvisha mng'alo wa silva mkubwa zaidi zaidi ya wynnwell sikuzikapita kimaisha akaanza kufeli kwakua uongo alizidisha amejikuta yuko nje ya ukweli!!

(chorus)

mmmh iiiiiiiiiii

inasikitisha ina huzunisha

(inaniuma sana)

inasikitisha kama kokote imekwama na

lazima niseme aaah na lazima nisemee

uuuuuuuuuuuh

nahizo ndizo ripoti za mtaani

nahizo ndizo ripoti za mtaani

lazima niseme


alipenda kwenda na tarehe akasahau siku hazilingani pesa huja na starehe na matatizo humohumo ndani hakuna kinacho kauka mapema zaidi ya machozi japo macho hubaki mekundu na usoni ishara ya majonzi kizuri ni kizuri lakini chenye ubora ni bora kwa bahati nzuri au mbaya akaja mchimba madini wa kakola akashoboka na huyu binti wa mjini aliye msafisha macho

aka muhonga gari nyumba na kila alicho kuwa nacho amesahau alitoa machozi damu na jasho kipindi ana hustle siku si nyingi anaamini atarudi hapohapo!!

siku zote Adam hakosi Eva wa kumshawishi haijalisi maji ni yamoto lazima ataurudia ubaridi akipumzisha utaota kutu wakati kitu sio funguo namuomba mungu amsitili zaidi ya mwili Wake na nguo hakutaka kuonekana kama kifaranga cha kuku kila siku atanyonya kesho wakati maziwa iko huku kijana akawa mchezaji zaidi ya Ronald wa Brazil tisa ukiongeza moja bado haikamilishi dozen usiombe alio wavisha kofia wote hawakua na vichwa alicho poteza akihesabu alicho bakiza


inasikitisha ina huzunisha

inaniuma sana

kama popo nimekwama

ooooh lazima niseme

lazima niseeeme

lazima

lazima niseme

lazima

ndiyo

lazima niseme

More Lyrics from Fid Q Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status