![Mwamba Gospel Mix](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0A/18/C3/rBEeM106oUSAI8ghAAD4KLriBZo621.jpg)
Mwamba Gospel Mix Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mwamba Gospel Mix - DJ Lyta
...
Mienendo yangu na tabia zangu zikupendeze
Kuvaa kwangu na kunena kwangu kukupende wakowana ukamtuma duniani kisa na maana nipate uzima jamaani
ishara kwamba umenipenda zaidi hivo nshaelewa sifa ntakupa zaidi
na siiwezi jizuia kusema wako wema