![Anataka nigenye ft. Jovie Jovv](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/27/fdf89a9dd69c4fb0b59243a9ca67d453_464_464.jpg)
Anataka nigenye ft. Jovie Jovv Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Anataka nigenye ft. Jovie Jovv - Wakadinali
...
HOOK {JOVIE JOV, DOMANI MUNGA}
DOMANi: mmh aah eeh
JOVIE: ye ndo anataka nigenye
DOMANI: ye ndo anataka
JOVIE: ye ni lele juu alimangwa na kisenye
DOMANI:mangwa kisenye
JOVIE: meza kitembe zenye zimefichwa ndani ya walenje
DOMANI: Meza kitembe
JOVIE: kama unanoma na sisi basi useme
DOMANI: kama unanoma
DOMANi: mmh aah eeh
JOVIE: ye ndo anataka nigenye
DOMANI: anataka nigenye
JOVIE: ye ni lele juu alimangwa na kisenye
DOMANI:mangwa kisenye
JOVIE: meza kitembe zenye zimefichwa ndani ya walenje
DOMANI: ndani ya walenje
JOVIE: kama unanoma na sisi basi useme
DOMANI: basi si useme
VERSE 1 {JOVIE JOV}
kama unanoma na sisi basi useme
mmh
mi sidai form zako buda we ni msenge
mmh
jovie nmevuka ukuta na ni seng'eng'e
mmh
jovie ni mkubwa hii muda na simu nene
mmh
chini ya mnazi mi na kula tu ma_reggae
mmh
jovie mnati mi na kula tu maveve
mmh
ka we si ngati buda cheza kama wewe
mmh
nipate angani mi na paa kama mwewe
mmh
HOOK {JOVIE JOV, DOMANI MUNGA}
DOMANi: mmh aah eeh
JOVIE: ye ndo anataka nigenye
DOMANI: ye ndo anataka
JOVIE: ye ni lele juu alimangwa na kisenye
DOMANI:mangwa kisenye
JOVIE: meza kitembe zenye zimefichwa ndani ya walenje
DOMANI: Meza kitembe
JOVIE: kama unanoma na sisi basi useme
DOMANI: kama unanoma
DOMANi: mmh aah eeh
JOVIE: ye ndo anataka nigenye
DOMANI: anataka nigenye
JOVIE: ye ni lele juu alimangwa na kisenye
DOMANI:mangwa kisenye
JOVIE: meza kitembe zenye zimefichwa ndani ya walenje
DOMANI: ndani ya walenje
JOVIE: kama unanoma na sisi basi useme
DOMANI: basi si useme
VERSE 2 {DOMANI MUNGA}
shida ni gani, shida ni guns
hadi mashinani shida ni gas
gwaash toboka ama uanze kudance
rong rende na HEFE na MamboGrand
mechi fifteen ndani walenje over eighteen ndani ya rende
mimi na mbusi masimba kayole tulichinja mbuzi so msiworry
nilienda el_shanghai ku-buy suppliers
mchina ni nani hadi plastic kwa rice
mi ni domani surprise makamu wa rais hajajua jina ni nani
rub a dub na madooba ngeus alisema mi ni maradona
juu niko kwa game kama goaler maskaf pita check na ya angola
ndani ya sub ina nguruma brrrr mi sina ata subra (subira)
juu tuko ndani niko sure tumetua itabidi wamejua
kemea kahaba wife sumbua bhangi, jaba, miraa na tuko tour
ukitry kunishow bangi imeland, i guess uko sure