Loading...

Download
  • Genre:World Music/Folklore
  • Year of Release:2017

Lyrics

Kada Wa Ccm - Capt John Komba

...

Sasa kumekucha × 2 (kucha)

Jogoo limekwisha wika Dodoma

Sasa kumekucha ×2 (kucha)

Jogoo limekwisha wika Dodoma (Kada wa CCM)

Kada wa CCM (Apewe kura za ndiooo)

Sasa kumekucha ×2 (kucha)

Jogoo limekwisha wika Dodoma

Sasa kumekucha ×2 (kweli)

Jogoo limekwisha wika Dodoma (kweli)

kada wa CCM (wa CCM), apewe kura za ndio

Yuko wapi? Yule pale ×3 Mnamuona

Yuko wapi? Yule pale ×3 Ndugu Kikwete (Ndugu Kikwete)

Kada wa CCM (Kada wa CCM), apewe kura za ndio

Yuko wapi? Yule pale ×3 Mnamuona

Yuko wapi? Yule pale ×3 Ndugu Kikwete (Ndugu Kikwete)

Kada wa CCM (Kada wa CCM), apewe kura za ndio

Sasa kumekucha × 2 (kucha)

Jogoo limekwisha wika Kizota

Sasa kumekucha ×2 (kucha)

Jogoo limekwisha wika Kizota (kweli)

Kada wa CCM

Kavaa za kijani, Yule pale ×3 Ndugu Kikwete (Katia kijani)

Kada wa CCM (Kada wa CCM), apewe kura za ndio

Yuko wapi? Yule pale ×3 Mnamuona

Yuko wapi? Yule pale ×3 Ndugu Kikwete (Ndugu Kikwete)

Kada wa CCM (Kada wa CCM), apewe kura za ndio

Yuko wapi? Yule pale ×3 Mnamuona

Yuko wapi? Yule pale ×3 Ndugu Kikwete (Ndugu Kikwete)

Kada wa CCM (Kada wa CCM), apewe kura za ndio

Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe

(Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe)

Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe

(Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe)

Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe

(Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe)

Wacha walie, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe

(Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe)

Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe

(Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe)

Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe

(Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe)

Wacha wanune, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe

(Wacha waseme, Chama Cha Mapinduzi kinawenyewe)

Jakaya Kikwete, Amechukua ameweka waaaa

CCM leo, Shangilia ushindi unakuja

Jakaya Kikwete, Amechukua ameweka waaaa

CCM leo, Shangilia ushindi unakuja

Jakaya Kikwete, Amechukua ameweka waaaa

Watanzania wote, Shangilia ushindi unakuja

Jakaya Kikwete, Amechukua ameweka waaaa

CCM leo, Shangilia ushindi unakuja

Kinamama, nambari one

Kinababa, nambari one

Haya, Kinamama nambari one

Hayaya, kina kaka nambari one

Kinadada nambari one

Watoto wetu nambari one

Tunasonga mbele, waaaaaaa

Haturudi nyuma, weeeee

Haya mauno seketua seketu

Mauno seketua seketu

Haya amba seketua seketu

Hayaya seketua seketu

Sema CCM ×3

Africa CCM

Tanzania CCM

Kinamama CCM

Kinababa CCM

Jakaya Kikwete, Amechukua ameweka waaaa

CCM leo, Shangilia ushindi unakuja

Jakaya Kikwete, Amechukua ameweka waaaa

Watanzania wote, Shangilia ushindi unakuja

Jakaya Kikwete, Amechukua ameweka waaaa.....

Mwandishi

@matiko_org

End.

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status