Kufa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Yeah, you already know
Eeheee, you know what eK
Tatizo ni kwamba sina tatizo broo
Ooh Jeez it's eK
Alidai ye ni rapper na ameshika kila section
Kumbe ananuka kikwapa na anafanya masturbation
Ye ni superstar cha ajabu hanaga reaction
Anataka fika far analilia promotion
She's my sister haezi kataa coz juzi alifanya abortion
Na anashangaa ninavo ng'aa she gat the less ambition
Kwanza we ni mshamba mjini unaishi bila ration
Life yako imekua ngumu umepoteza direction
Huwezi shindana na mimi am the king of the nation, na
Mi ni mkali sio mentaly kama wewe
Haunaga mabawa unataka kujiita mwewe
Kitaani natambulika usonijua ni wewe
Kama kurunzi namulika wanapatwa kiwewe
Eti wanadai nipo slow ninavo flow
Wamesahau, Painkiller mi nawika kaa jogoo
Nawachoma na mistari wananywea ka jongoo ooh
Wakifunua huwaga mi nafunika
Kwa yangu rap style watakimbiza kilo metre
Sio sita, wote hao ni masister
Walisema sitoweza cheki ninavo wafunika
Wana ungulika, kwenye game nimekita
Mizizi sita na nawacheza zaidi ya gita
Hua naplay hard najua nitakua fame
Usijigambe ngoma yako kuchezwa pwani fm
Hio ni air play tuu ila hapa kwangu hauna say
Win and stay, nataka unielewe okay
Ukijigamba na mistari, nitakumeza kama mamba
Mi ni moto kaa mbali hapa kwangu huwezi tamba
We ni mshamba, nitakuosha kwa maji
We ni maiti kula pamba
Kwanza we ni one GB you are not on my level
Na ukinifwatilia ntakupoteza kama devil oooh shiiiit
Kama hutaki matatizo kufa
Maana matatizo ni sehemu ya maisha
Umelala wenzio tunakesha
Kisha tukipata unaleta mapressure
Kama hutaki matatizo kufa
Maana matatizo ni sehemu ya maisha
Umelala wenzio tunakesha
Kisha tukipata unaleta
Mkali wako ananisifia saa utaniambia nini
Mwanaume napo ongea niskize kwa makini
Neno langu lina okoa kaa vitabu vya dini
Ndo maana namba ziro siishiki nawaachia nyinyi
Ni akili timamu kutoka Dope Gang
Story za upuzi tulizi cancel
Hapa kazi juu ya kazi till we make it rain yeeh yeeh
Wamekubali me ndo king, watoto wamelegeza
Nilikua down sina bling saizi napendeza
Na penya anga zao, na shine bila wao
Ni hustler mdogo sinaga pupa
Nawashangaza vigogo wanashtuka
Hii ni love ya mafuns, love ya wazazi, bless za mpaji
Ma haters mko wapi, mnanichukia ila mna penda nacho fanya
Kitu sitaki hua nishobo nawakanya
Binadamu hawasemoki, hata yesu walimkana, na
Napambana kila kukicha, sioni mwangwa ni mapicha picha
Ila, maisha ni vita walisema wahenga
Round hii haamli beef mtakula machungu ma haters
Napiga mangoma na eK nawatatiza brain
Na hizi flow zalewesha, utadhani ni cocaine
Na hizi flow zalewesha, utadhani ni cocaine
Kama hutaki matatizo kufa
Maana matatizo ni sehemu ya maisha
Umelala wenzio tunakesha
Kisha tukipata unaleta mapressure
Kama hutaki matatizo kufa
Maana matatizo ni sehemu ya maisha
Umelala wenzio tunakesha
Kisha tukipata unaleta