Kumtegemea mwokozi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Kumtegemea mwokozi - Beatrice Mwaipaja
...
……
Kumtegemea mwokozi
kwangu tamu kabisaa
Kukubali neno lake
Ni raha moyoni
Yesu yesu namwamini
Nimemuona thabiti
Yesu yesu yu thamani
Ahadi zake kweli
Kumtegemea mwokozi
Kwangu tamu kabisa
Kuamini damu yake nimeoshwa kamili
Kumtegemea mwokozi
kwangu tamu kabisa
Kwake daima napata
Uzima na amani
Nafurahia kwa sababu nimekutegemea
Yesu mpendwa na rafiki
Uwe na midawamu