Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2024

Lyrics

Umbea umbea kati ya wakristo

Umetoka wapi twahubiri nini

Umbea manyumbani umbea kanisani

Fitina masengenyo acheni kabisa


Umbea umbea umbea umbea

Kati ya wakristo acheni umbea

Shughulikieni yenu acheni uzushi

Mambo yasiyofaa acheni kabisa


Kanisani leo hata nashangaa

Mbona watu waenda kuzusha umbea

Atasimama mbele yenu dada aliyevaa nadhifu

Awatolee ushuhuda kumbe ni mzushi

'Kimshinda kwa mavazi aanza uzushi

Akusingizia asema wewe msherati


Umbea umbea umbea umbea

Kati ya wakristo acheni umbea

Shughulikieni yenu acheni uzushi

Mambo yasiyofaa acheni kabisa


Hamtaki nivae wala 'niendelee

Mradi naongoza mwaanza maneno

Nikijenga nyumba ninunue gari

Mwaanza kusema nala pesa za kanisa

Wewe hutoa ngapi kati ya sadaka

Ama zako zaliwa zingali mfukoni


Umbea umbea umbea umbea

Kati ya wakristo acheni umbea

Shughulikieni yenu acheni uzushi

Mambo yasiyofaa acheni kabisa


Nikibarikiwa na pesa na mali

Nawe ni mkristo waanza kuzusha

Ashasoma dini ya shetani amwabudu ibilisi

Mwaniharibia sifa Mungu 'tanilipia


Umbea umbea umbea umbea

Kati ya wakristo acheni umbea

Shughulikieni yenu acheni uzushi

Mambo yasiyofaa acheni kabisa


Mwana mume na mke wakisikizana

Waanza uzushi mume kapewa madawa

Hawa wapendana tena ndoa yao

Wanaidhamini sana mambo hutenda kwa ushirika


Umbea umbea umbea umbea

Kati ya wakristo acheni umbea

Shughulikieni yenu acheni uzushi

Mambo yasiyofaa acheni kabisa


Umbea umbea umbea umbea

Kati ya wakristo acheni umbea

Shughulikieni yenu acheni uzushi

Mambo yasiyofaa acheni kabisa


Umbea umbea umbea umbea

Kati ya wakristo acheni umbea

Shughulikieni yenu acheni uzushi

Mambo yasiyofaa acheni kabisa

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status