![Instagram](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/11/4b3664fe3bcb4498b16f1bf7a893ce16.jpg)
Instagram Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Instagram - Wanyabi
...
Instagram ×3 nazama zangu ndichi nazikuta mbichi mbichi Instagram kang`olewa kwenye kiti wajumbe watu wabishi Instagram yule dada anaitwa shishi ni fundi wamapishi nimbabeee amepigwa na uchebe wanamuita idris kamchora rais wakamuweka rumande alipotoka akaona bora adange eti nandy nae ana gorofa Instagram kuna ulofa na billnass sjamuelewa na swali ivi kaoa au kaolewa tunda kamrudia D whozzu kapusua simu wolper alivishwa Pete nawatu tuliona umu umu Instagram naizi za Chini chini naii kwa brother angu Mimi jina lake stamina kabebwa akuamin akabebwa hakuamin aaayeee hii noma yaan kapewa gar bila card instragram eeh bhana e mmeiona hiii instragram