Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2021

Lyrics

Wanyabi Cypher New Year Chapter - Wanyabi

...

beat by cat p

WANYABI CYPHER

korogwe finance baby

asante kunifanya niweimara

uliyebadili mringoti dhaif kuwa mnala

mlinzi wa roho yang inayokesha mi nikilala

maana wanang wafaida ndo wananitiaga hasara

sa wakwapi tukiwamini wakatusaliti

wengne walijifanya wanaharakati

kumbe wazandik wanatupiga busu la unafiki

wakilo upewi kijiko labda kisu na maaaji

niwewe mungu uliyefanya leo ikawa

mwarubaini mchungu ukaufanya nidawa

cheki wanatupa ndugu wanakumbatia chawa

ulale pema bibi nesi mi nipo sawa

mungu baba naomba ibariki na serikali

wape akili na mabinti wanaojita pic kali

maana maisha ni safari

kunamwisho wa uhuni

nakabur ndo mlaaango wakuingilia mbinguni

hey naish kwa peaceful na ninahappy

hajanipa mkwanja kakinimbi nikoflash

mwing jah ananiona nafsi

ameniweka seif place kanipa ufamous

kama unafanya basi fanya kwa kuwin (though)

kama unaziro ukipambana inakuwa mia (bro0)

mafungu saba mi ndo kwanza na lapili

naukinipa mke minaichoma (goo)

ninaekutana nae nasababu amesha sema

kila nae achana nae nijifunze unavyosema

sina gang sina crue pekyako ndo inatosha

nilipe na bia kaja hukukwa wanyabi sasa

heti huwez achana nae unazingua ujue

wengne watasema unaiga watu iliwachujue

wanakuchora ukitoboa tulisema sie

mungu hapend wanafki na ndo maana (anawachomaga)

kwa meng umenitendea naitaj kukushukuru

umenipa pumz bure napumua unidai ushuru

sinabudi kujirudi hata nisipokosa

maana kifo hunikumbusha muosha mait nae huoshwa

sitochoka kukwabudu mpaka ipigwe parapanda

unipokee hiyo siku ntayokuja nimevaa sanda

usiku kiza mchana mwanga,

nyumba mchawi, nyumba mganga

we ndo kiboko ya waganga (hee)

aah! mungu wang mm mpenda haki (mmh! )

alipogundua sina wa ubav hakusita kunipa shosti

kwa dhambi ya udhinifu nakili mi ni mkosefu

amenilinda mechi nying uwanjani nimechza peku

wabariki mashabiki bila nyinyi hakuna mm

mungu juu si ni chini ukiomba wizi ye akunyimi

yuko peace tu na nyinyi

hata uvae saa ya ukutani

ujukuu wake utafika lini??( hey)

kalijua jiji kamekua kagwiji

kanaomba na zigi kanatoa bangi??

duah haziskiki mmekosa misingi

nyumba ya ibada mnasnap ni upimbi

hellow God eeh! sjui ka unajua

makalio ndo yanaongoza kutusumbua

mtoto mzuri akipost comment 860

ila mnyabi nikipost awe ntajilike mm

eti wenye hela wanatusema masikini

chajabu nao wanakufa haki ya mama siamini

eeh nesi nabelea wanaona ndo maisha (wapumbavu)

kweli watapata wa kuwapumzisha

sikuiz pastor kawa mwanasiasa

anatuchanganya waumini awee tumedata

nasubir iyo safari ya japan ni utata

nakuna mmoja kanambia (uncle kanyaga mafuta)

nasi na pupa ya maisha nikijibanza kama stone

huku nikihustle hard pesa iwe kibindoni

nabangaiza root to duniani

poteza pesa ukipoteza maisha tupo lehani

asee kaz juu ya kaz nikiunganisha na prayer

nafkili bila mungu maishani ningepotea

kaz juu ya kaz sinaa muda wa kuchezeya

mi natafuta pesa we nenda tafuta babycare

siunajua na mitaa inatufundisha ukomando

usibishe maana manzese pia kuna rambo

ingekua vp anga bila ardhi,devo bila lord

ingekuwa vp father bila son, tecno bila i phone

ingekuwa vp country bila people, pete bila kito

ingekuwa vp ziwa bila mito yiiii

na zang shida natatua yee niacha dailema

pesa na bebe znaingia kish bila kudema (mmmh!)

sio wa kubeng kubengbeng

nizameklabu nin'goe bitch mixer cruebengbeng

AM OUT

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status